12. MWOKOZI ALIYEPO DAIMA
MWOKOZI ALIYEPO DAIMAKijana mmoja wa Kiskoti, kwa jina Petro,alipopotea katika nyika yenye majani mengiusiku mmoja uliokuwa na giza jeusi kamawino, Mungu alimwita kwa jina lake:”Petro!” Sauti ile ya mbinguni ilipoita tena,Petro alisimama katika njia yake,akaangalia chini na kugundua kwambaalikuwa umbali wa hatua moja tukutumbukia katika shimo la machimbo yamawe lililokuwa limeachwa.Je! isingekuwa ni ajabu kwetu […]
12. MWOKOZI ALIYEPO DAIMA Read More »