MKUSDA CHURCH
Unity in Worship

Author name: admin

2. TWAWEZA KUIAMINI BIBLIA

Mabaharia waasi maarufuwalioizamisha meli yaKiingereza iliyoitwa Bountywaliishia kufanya makazi yaowakiwa pamoja na wanawake,wenyeji wa eneo lile katikakisiwa cha Pitcairn katika Bahariya Pasifiki ya Kusini. Kundi lilelilikuwa mabaharia tisa waKiingereza, wanaume wa Kitahitisita, wanawake wa Kitahiti kumi,na msichana wa miaka kumi namitano. Mmojawapo wamabaharia wale alivumbuanamna ya kutonesha [kugeuzakuwa mvuke] alkoholi, na baadaya muda mfupi ulevi […]

2. TWAWEZA KUIAMINI BIBLIA Read More »

3. JE! MAISHA YANGU YANA MAANA KWA MUNGU?

1.Mungu Aliumba Dunia KamilifuMungu ndiye Muumbaji, mwasisi na mbunifuwa kila kitu kuanzia nyota zinazotoa mlipukowa mwanga mkubwa kuliko jua na kutoweka(supernovas) hadi mabawa ya kipepeo.“Kwa neno la BWANA mbingu zilifanyika najeshi lake lote kwa pumzi ya kinywachake…. maana yeye alisema, ikawa; nayeye aliamuru, ikasimama” – (Zaburi 33:6-9).Mungu hana budi kusema tu, kisha vitu vyaasili hutii

3. JE! MAISHA YANGU YANA MAANA KWA MUNGU? Read More »

4. MPANGO KWA AJILI YA MAISHA YAKO

Baada ya mchungaji kuzungumza juu ya somo hili, “Kwa nini miminamwamini Yesu,” mwanaume mmoja kijana, aliyevalia vizuri, alimtembeleakatika chumba chake cha kusomea na kusema naye kwa mshangao,”Hotuba yako usiku wa leo ilitoka katika Biblia yako. Hebu niambie, kamaYesu alipata kuishi hapa duniani, mbona historia haisemi habari zo zote juuyake?“Hilo ni swali zuri,” mchungaji akajibu alipogeuka

4. MPANGO KWA AJILI YA MAISHA YAKO Read More »

5. DARAJA KWENDA KWENYE MAISHAYANAYORIDHISHA

Waliikuta mifupa yake kandoya kibanda chake cha mudakatika kisiwa kisichokuwa nawatu katikati ya Atlantiki.Baharia yule asiyejulikanajina lake alitunza kitabu chamambo ya kila sikukilichoeleza kwakinagaubaga matesomabaya aliyopata kwa mieziminne. Alikuwaametelekezwa pwani yakisiwa cha Ascension na kundi la manowari za Kiholanzi chini ya kamandammoja katika mwaka wa 1725 kwa uhalifu wake fulani uliokuwa haujatajwa.Baada ya muda mfupi

5. DARAJA KWENDA KWENYE MAISHAYANAYORIDHISHA Read More »

7. KUHUSU MAMBO YAKO YA BAADAYE

KUHUSU MAMBO YAKO YA BAADAYEMadaktari Patricia na David Mrazek walikuwa wamelemewa na huzunikubwa sana katika kazi yao. Kama mabingwa wa magonjwa ya watoto,waliwashughulikia watoto wengi waliokuwa wakiumwa. Lakini waligunduaukweli kwamba baadhi ya watoto walitoka katika hatari yao ya kufisha nakupata nguvu mpya, ambapo wengine waliangamizwa nayo. Kwa nini?Mathalani, kwa nini mtoto mmoja atumie madawa ya

7. KUHUSU MAMBO YAKO YA BAADAYE Read More »

8. YESU AJAPO KWA AJILI YAKO

YESU AJAPO KWA AJILI YAKOBaada ya miaka mingi ya kutendewa vibaya, Armando Balladares alikuwaamekonda vibaya sana na kulemaa akiwa kama kinyago tu cha vilealivyokuwa mara ya kwanza. Alikuwa amevutiwa sana na imani yakeiliyomletea mateso. Muda mfupi baada ya watu wale wawili kuoana katikasherehe ya kuwafungisha ndoa yao iliyoendeshwa kiserikali katika uwanjawa gereza lile, Martha alilazimka

8. YESU AJAPO KWA AJILI YAKO Read More »

9. MAKAO YAKO YA MBINGUNI

MAKAO YAKO YA MBINGUNIMarko Polo aliporudi kwenye mji kusafiri miaka mingi katika nchi zamashariki, rafiki zake walidhani kwamba safari zake zile ndefu sanazilikuwa zimemfanya kuwa mwehu. Alikuwa na hadithi nyingi za kusimuliazilizokuwa hazisadikiki.Marko alikuwaamesafiri hadikwenye mjiuliojaa fedha nadhahabu. Alikuwaameyaona mawemeusi yaliyokuwayakiungua moto,lakini hakunahata mmoja waoaliyekuwaamepata kuzisikiahabari za makaaya mawe. Aliionanguo iliyokataakuwaka motohata kamailitupwa katika ndimi

9. MAKAO YAKO YA MBINGUNI Read More »

10. JE! NI MAPEMA KIASI GANI YESU ATARUDI?

JE! NI MAPEMA KIASI GANI YESU ATARUDI?Karibu wengi wetu tunao msukumo ambao kwa jumla ni wa kisilika wakutamani mambo yale yatakayotokea baadaye. Tunataka kujua ni kitu ganikilicho mbele ya upeo wa macho yetu. Lakini utabiri uliosahihi hutelezavibaya sana. Tunao wakati mgumu wa kutosha kuweza kujaribu kubashirihali ya hewa itakayokuwako kesho!Lakini yuko Mmoja ambaye unabii wake

10. JE! NI MAPEMA KIASI GANI YESU ATARUDI? Read More »

11. UWEZO WA AJABU KATIKA MAISHA YANGU

UWEZO WA AJABU KATIKA MAISHA YANGUKatika mwaka ule wa 1929 (Frank Morris) alipanda meli iliyokuwa ikiendaUswisi. Alikuwa ametazamia kufanya safari ile kwa muda fulani. Lakiniikageuka na kuwa safari ya kumdhalilisha. Mtumishi aliyewekwa kumtunzaalimfungia Frank katika chumba chake kila siku. Baada ya kupata kifunguakinywa, kwa haraka-haraka Frank aliweza kufanya mazoezi ya viungokidogo, lakini yeye alijisikia kana

11. UWEZO WA AJABU KATIKA MAISHA YANGU Read More »

Scroll to Top
MKUSDA CHURCH