MKUSDA CHURCH
Unity in Worship

Author name: admin

22. JE! MUNGU ANA HAKI?

JE! MUNGU ANA HAKI?Mvulana mmoja ndani kabisa ya mji anauawakwa risasi zilizofyatuliwa ovyo na majambaziwakati anafanya kazi yake ya shuleni akiwaameketi nyumbani kwao katika meza yafamilia yake.Mama mmoja kijana katika viunga vya mjianagundua kwamba mtoto wakeamepatikana na Ukimwi kutokana na damualiyoongezewa mwilini mwake.Misiba inazidi kuendelea tena na tena katikaulimwengu wetu huu. Nasi tunatamani sanakujua jibu […]

22. JE! MUNGU ANA HAKI? Read More »

23. JEHANAMU NI NINI NA IKO WAPI?

JEHANAMU NI NINI NA IKO WAPI?Kufyatua risasi kipumbavukulitokea wakati mwanafunzimmoja alipoingia katika shuleyake na kuwaua wanafunziwenzake kadhaa. Mwanaumemmoja mwenye chuki, ambayealikuwa amefukuzwa kazi, aliingiamahali pale alipokuwa akifanyakazi zamani na kumpiga risasimkuu wake wa kazi. Mama mmojaalisukuma gari lake dogo nakulitumbukiza ziwani likiwa nawatoto wake wawili ndani yake na kuwazamisha.Kwa uchache katika mabara mawili maelfu wamechinjwa

23. JEHANAMU NI NINI NA IKO WAPI? Read More »

24. MTU AKIFA, KUNA NINI BAADAYE?

MTU AKIFA, KUNA NINI BAADAYE?Tunajikunyata mtoto mdogo anapouliza kwanza swali hili, “kufa maana yakenini? Tunaywea kuzungumza au hata kufikiri juu ya mtu fulani tumpendayeanapokaribia kufa. Mauti ni adui wa watu wote kila mahali.Je! majibu ni yapi kwa maswali magumu yahusuyo kifo? Je! kuna maishabaada ya kufa? Je! tutawaona tena wapendwa wetu waliokufa? 1.Kukikabili Kifo Bila

24. MTU AKIFA, KUNA NINI BAADAYE? Read More »

26 JE! MUNGU ANAO UJUMBE WA PEKEE KWA AJILI YA SIKU ZETU

JE! MUNGU ANAO UJUMBE WA PEKEE KWA AJILIYA SIKU ZETU?Ramon Umashankar alizaliwa katika tabaka ya juu ya Kihindu (Brahmin).Wakubwa wake kwa umri walimfundisha akiwa na umri ndogo ya kwambayeye alikuwa mungu, na ya kwamba ili kuufikia uungu wake ni lazimaafanye mazoezi ya yoga na kutafakari. Yeye kama kijana mbichi [tineja],Ramon alianza kushangaa kama kweli angempata

26 JE! MUNGU ANAO UJUMBE WA PEKEE KWA AJILI YA SIKU ZETU Read More »

Lesson 24: Does God Inspire Astrologers and Psychics?

Lesson 24 If some self-proclaimed prophet suddenly arose and began drawing crowds with stirring messages, healing the sick, raising the dead, bringing fire down from heaven, and revealing knowledge of your personal secrets—would you believe in him or her? Should you believe? Your ultimate destiny just might be tied directly to your ability to distinguish

Lesson 24: Does God Inspire Astrologers and Psychics? Read More »

Scroll to Top
MKUSDA CHURCH