1. TWAWEZA KUMWAMINI MUNGU
Siku moja Jimi alimwuliza mtu mmoja anayekana kuwa kuna Munguendapo alipata kujaribu sana, hata kwa dakika chache tu, kupigana nawazo lisemalo kwamba huenda Mungu yuko.“Sawa kabisa!” mkana Munguyule akajibu, akimwacha Jimina mshangao. “Miaka mingiiliyopita, mimi nilikuwa karibusana nigeuke na kuwa mtuanayemwamini Mungu.Nilipokiangalia kile kiumbekidogo sana – lakini – kikamilifukatika kitanda chake kidogo,nilipochungulia na kuvionavidole vile […]
1. TWAWEZA KUMWAMINI MUNGU Read More »