11. UWEZO WA AJABU KATIKA MAISHA YANGU
UWEZO WA AJABU KATIKA MAISHA YANGUKatika mwaka ule wa 1929 (Frank Morris) alipanda meli iliyokuwa ikiendaUswisi. Alikuwa ametazamia kufanya safari ile kwa muda fulani. Lakiniikageuka na kuwa safari ya kumdhalilisha. Mtumishi aliyewekwa kumtunzaalimfungia Frank katika chumba chake kila siku. Baada ya kupata kifunguakinywa, kwa haraka-haraka Frank aliweza kufanya mazoezi ya viungokidogo, lakini yeye alijisikia kana […]
11. UWEZO WA AJABU KATIKA MAISHA YANGU Read More »