MKUSDA CHURCH
Unity in Worship

Author name: admin

9. MAKAO YAKO YA MBINGUNI

MAKAO YAKO YA MBINGUNIMarko Polo aliporudi kwenye mji kusafiri miaka mingi katika nchi zamashariki, rafiki zake walidhani kwamba safari zake zile ndefu sanazilikuwa zimemfanya kuwa mwehu. Alikuwa na hadithi nyingi za kusimuliazilizokuwa hazisadikiki.Marko alikuwaamesafiri hadikwenye mjiuliojaa fedha nadhahabu. Alikuwaameyaona mawemeusi yaliyokuwayakiungua moto,lakini hakunahata mmoja waoaliyekuwaamepata kuzisikiahabari za makaaya mawe. Aliionanguo iliyokataakuwaka motohata kamailitupwa katika ndimi […]

9. MAKAO YAKO YA MBINGUNI Read More »

10. JE! NI MAPEMA KIASI GANI YESU ATARUDI?

JE! NI MAPEMA KIASI GANI YESU ATARUDI?Karibu wengi wetu tunao msukumo ambao kwa jumla ni wa kisilika wakutamani mambo yale yatakayotokea baadaye. Tunataka kujua ni kitu ganikilicho mbele ya upeo wa macho yetu. Lakini utabiri uliosahihi hutelezavibaya sana. Tunao wakati mgumu wa kutosha kuweza kujaribu kubashirihali ya hewa itakayokuwako kesho!Lakini yuko Mmoja ambaye unabii wake

10. JE! NI MAPEMA KIASI GANI YESU ATARUDI? Read More »

11. UWEZO WA AJABU KATIKA MAISHA YANGU

UWEZO WA AJABU KATIKA MAISHA YANGUKatika mwaka ule wa 1929 (Frank Morris) alipanda meli iliyokuwa ikiendaUswisi. Alikuwa ametazamia kufanya safari ile kwa muda fulani. Lakiniikageuka na kuwa safari ya kumdhalilisha. Mtumishi aliyewekwa kumtunzaalimfungia Frank katika chumba chake kila siku. Baada ya kupata kifunguakinywa, kwa haraka-haraka Frank aliweza kufanya mazoezi ya viungokidogo, lakini yeye alijisikia kana

11. UWEZO WA AJABU KATIKA MAISHA YANGU Read More »

12. MWOKOZI ALIYEPO DAIMA

MWOKOZI ALIYEPO DAIMAKijana mmoja wa Kiskoti, kwa jina Petro,alipopotea katika nyika yenye majani mengiusiku mmoja uliokuwa na giza jeusi kamawino, Mungu alimwita kwa jina lake:”Petro!” Sauti ile ya mbinguni ilipoita tena,Petro alisimama katika njia yake,akaangalia chini na kugundua kwambaalikuwa umbali wa hatua moja tukutumbukia katika shimo la machimbo yamawe lililokuwa limeachwa.Je! isingekuwa ni ajabu kwetu

12. MWOKOZI ALIYEPO DAIMA Read More »

13. TOKA MDHAMBI MWENYE HATIA HADIMTAKATIFU ALIYESAMEHEWA

TOKA MDHAMBI MWENYE HATIA HADIMTAKATIFU ALIYESAMEHEWAHapakuwa na alama zo zote za vidole. Hakuna silaha yo yoteiliyogunduliwa. Hakuna mtu ye yote aliyemwona mwuaji yule alipoingiakatika ofisi ya yule daktari. Hakuna ye yote aliyesikia hata zilipofyatuliwazile risasi. Lakini yule daktari alikuwa na risasi tano zimepenya shati yake.Ilionekana kana kwamba ni uhalifuuliofanywa kwa ustadi sana. MwanzoniPolisi hawakuweza kupata

13. TOKA MDHAMBI MWENYE HATIA HADIMTAKATIFU ALIYESAMEHEWA Read More »

14. SIRI YA OMBI LINALOJIBIWA

SIRI YA OMBI LINALOJIBIWAAnatoli Levitini, mwandishi na mwanahistoriawa Kirusi, alitumia miaka yake mingi katikaGulag ya Siberia, ambako dua zilizotolewa kwaMungu zilionekana kana kwamba zimegandaardhini. Lakini alirudi akiwa mzima kiroho.”Mwujiza mkuu kuliko yote ni maombi,”aliandika. “Yanipasa tu kumgeukia Mungukimawazo na mara moja naisikia nguvuinayoingia ndani yangu kutoka mahali fulani,inaingia katika roho yangu, na mwili wanguwote. Je!

14. SIRI YA OMBI LINALOJIBIWA Read More »

15. SIRI YA FURAHA

SIRI YA FURAHAMwaka 1943, majeshi ya Uvamizi ya Kijapani yaliwaamuru wale “WananchiMaadui” wa Kimarekani na Ulaya kwenda katika kambi la waliotekwa vitanikatika lile Jimbo la china la Shantung.Walilazimika kustahimili miezi mingi ya kuchosha sana, ya kukata tamaa, yakusongamana pamoja na ya hofu. Watu wenye tabia tofauti waligongana,hasira zililipuka. Magomvi madogo madogo yaliongezeka sana.Lakini mtu mmoja

15. SIRI YA FURAHA Read More »

16. SIRI YA PUMZIKO LA MBINGUNI

SIRI YA PUMZIKO LA MBINGUNIMiaka michache tu iliyopita wengine walikuwa wakibashiri kwamba muda simrefu tungekuwa na muda mwingi sana wa mapumziko ambaotungeshindwa kujua tufanye nini nao. Hizi zilikuwa ndizo sababu nzuri kwaubashiri ule wenye matumaini. Katika miji mikuu ya ulimwengumakompyuta yalikuwa yakizisaga-saga kazi ambazo zingechukua mwezimzima kuzifanya kwa sehemu tu ya nukta moja. Na yale

16. SIRI YA PUMZIKO LA MBINGUNI Read More »

17. SIRI YA UKUAJI KWA KUSHUHUDIA

SIRI YA UKUAJI KWA KUSHUHUDIALarry alikuwa akifurahia maongozi yale mazuri, chai ya kijapani, walimkavu, nyumbani kwa Bwana Komari wakati wageni wengine walipoanzakuzitoa Biblia zao. Wote wakamtazama na kumngojea. “Tafadhali tupesomo letu sasa?” Bwana Komari aliomba.Larry alikuwa karibu amepaliwa na chai yake. Alikuwa amedhani kwambamkutano ule wa dhifa (Karamu) ulikuwa wa kujifurahisha tu. Na sasahakuweza kufikiri

17. SIRI YA UKUAJI KWA KUSHUHUDIA Read More »

18. SIRI YA MTINDO WA MAISHA ULETAO AFYA

SIRI YA MTINDO WA MAISHA ULETAO AFYAWatafiti wanaoishi katika kipindi hiki tulicho nacho wamejitahidi sanakuithibitisha ile kweli iliyothibitishwa kwanza na Biblia kwa kutoa maelezohaya: Wanadamu ni viumbe kamili. Mara nyingi kile tunachokigawa katikasehemu za kimwili, kiakili, na kiroho ni sehemu za mtu zilizo na uwianounaoingiliana, wala hazitenganishiki. Kwa maneno mengine, kinachoidhuruakili, kinaudhuru mwili.Hali yetu ya

18. SIRI YA MTINDO WA MAISHA ULETAO AFYA Read More »

Scroll to Top
MKUSDA CHURCH